Welcome to IWSA


about us | dv project | family support projects| training |projects | policy subs | newsletter | membership | resources | contact |languages | links

 

CHANTA CHA KUSEMA WAZI KWA NLABA YA WANAWAKE WAHAMIAJI WA NSW INC.

LENGO

Kuunga mkono wanawake walio wahamiaji na wakimbizi hapa NSW, wafikie usawa na wanaume ki-siasa, ki-jmaii na ki-utamaduni.

Tangu 1985, Chama cha Wanawake Wahamiaji ("Speakout") ni chama kilicho kikuu hapa NSW kwa upande wa kusaidia wanawake wahamiaji na wakimbizi wasiosema Kiingereza tangu utoto mchanga.

Zaidi ya kazi yetu ya kushauri na kutetea:

Tunasaidia kimoja wanawake wahamiaji na wakimbizi wanaoteswa na waume zao nyumbani na wanaotafuta kazi.
Tunatoa nafasi za kuelimishwa ki-jamii.
Tunatoa nafasi za kujifunza kufanya kazi katika shirika za serikai, jamii na binafsi.
Tunafanya utafiti kuhusu mahitaji ya wanawake wahamiaji na wakimbizi.
Tunasimamia miradi ya maendeleo ya jamii na miradi ya maendeleo ya utamaduni wa jamii.

'Semawazi" (Speakout) ni chama kilichotoka katika jamii na kinachosimamia na wanawake wasiosema.

Kiingereza tangu utoto mchanga. Kusema na "Speakout" piga simu (02) 9635 8022 au tuma e-mail kwa women@speakout.org.au. Kama hatujui lugha yako tutakupatia mkaramani.